top of page

Nijaribuni Kwa Zaka

Nijaribuni kwa zaka, asema Bwana Mungu wa majeshi, oneni kama sitawafu, ngulia madirisha ya mbinguni. (Kipimo cha kujaajaa, kipimo kipimo cha kushindiliwa, kipimo Haya, Nijaribuni kwa zaka na asema Bwana Mungu majeshi).x2

1.Leteni ghalani mwangu zaka, Ili nyumbani mwangu kuwe na chakula cha kutosha.

2.Nasema hivi mnijaribu, Nijaribuni hivyo hivyo nami nitatoa baraka.

3.Mizabibu yenu mashambani, haita achakuzaazaa matunda ya baraka.

4.Nitumikieni vivyo hivyo, nitumikieni daima mtakuwa urithi wangu.

37 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page