top of page

Nijaribuni Kwa Zaka

Nijaribuni kwa zaka ninyi, Nijaribuni kwa zaka, kwa zaka, kwa zaka, asema Bwana asema Bwana, Mungu wa majeshi x2. (B: onenikama) Oneni kama sitawafungulia madirisha madirisha ya mbinguni na kuwa tiririshia baraka tele x2)

1. Leteni ghalani mwangu leteni zaka, ili nyumbani mwangu kuwe na chakula cha kutosha

2. Nasema hivi nasema nijaribuni, nijaribuni mimi hivyo nitatoa Baraka.

3. Mizabibu yenu iliyo mashamban, itazaa matunda, matunda yenye kweli baraka

4. Nitumikieni mimi nitumikieni, hivyo ninyi mtakuwa kweli, kweli urithi wangu

5. Ndipo mataifa yote ya ulimwengu, yatawaita ninyi watu walio barikiwa.

22 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page