top of page

Utangulizi

Ni wapi ni wapi ni wapi amezaliwa mfalme


Chorus

Ni Bethlehemu amezaliwa Yesu mji wa Daudi amezaliwa Kristu (Ee ni ni shangwe ee ni shangwe ee ni shangwe mkokozi amezaliwa) x2

  1. Tumesikia habari za mfalme huyu amezaliwa yu hapa kwetu duniani ni wapi tuambieni na sisi tukamuone zawadi zawadi tubebe aee dhahabu manemane tumpokee Mungu mwana mkombozi wa ulimwengu ndiye kristu

  2. Na mamajusi waenda kwa mfalme huyu na wachungaji pia waenda kwa mfalme huyu ni wapi tuambieni na sisi tukamuone zawadi zawadi tubebe aee dhahabu manemane tumpokee Mungu mwana mkombozi wa ulimwengu ndiye kristu

  3. Malaika wanamuimbia mtoto huyu nazo nyota za mfunika mtoto huyu ni wapi tuambieni na sisi tukamuone zawadi zawadi tubebe aee dhahabu manemane tumpokee Mungu mwana mkombozi wa ulimwengu ndiye kristu

Ni kwetu kazaliwa mfalme wa wafalme mpokee masiha awe nawe milele hata milele (Ee ni ni shangwe ee ni shangwe ee ni shangwe mkokozi amezaliwa) x2

13 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page