top of page

Ni usiku wa Manane

Ni usiku wa manane, mtoto kazaliwa Malaika wanaimba, wimbo huu mzuri

Gloria hosanna in excelsis x2


Wachungaji makondeni na mifugo yao Sauti wazisikia toka juu mbinguni


Malaika anashuka toka juu mbinguni Kawatoa wasiwasi hao wachungaji


Kwenye mji wa Daudi leo kazaliwa Mwokozi wa ulimwengu, ndiye Kristu Bwana


Haya basi twende hima huko Bethlehemu Tukaone tukio tuliloambiwa

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page