top of page

Ni Usiku Kweupe

Msiche hayo mwende mbio wachunga Ni Masiha ashukiao Karibuni mtazameni mzaliwa Masiha hapo pangoni


Twaarifu aliyelazwa chini Mwana Mungu yakini, Mfalme Mtukufu


Sikieni ni malaika hao Kweli sauti yao, huko anagani


Nyimbo gani zamtaja mwenye adhama Mleta kwetu salama, mshinda shetani


Baadaye kila mwenye kutakata, Wokovu ni kupata kwa rehemaye

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page