top of page

Ni Tabibu wa Karibu

1. Ni tabibu wa karibu Tabibu wa ajabu, Na rehema za daima Ni dawa yake njema.

Imbeni malaika sifa za Yesu Bwana pweke limetukuka Jina lake Yesu 2. Hatufai kuwa hai wala atutumai Ila yeye kweli ndiye Atupumzishae. 3. Dhambi pia na hatia, Ametuchukulia Twenendeni kwa Amani, Hata kwake Mbinguni. 4. Huliona tamu jina La yesu kristo bwana, yuna sifa mwenye kufa, Asishindwe na kufa. 5. Kila mume asimame Sifa zake zivume; Wanawake na washike, Kusifu jina lake. 6. Na vijana vyote tena, Vimpendavyo sana; Vije kwake viwe vyake, Kwa utumishi wake.


  • Hymn

  • 35,768 views


4 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page