top of page

Ni Neno Toka kwa Bwana

1. Ni neno toka kwa Bwana limekuja x2

Tusikie neno, neno lake Bwana ee ni neno toka kwa Bwana limekuja x2

2. Wokovu toka kwa Bwana umekuja x2

3. Neema toka kwa Bwana limekuja x2

4. Baraka toka kwa Bwana zimekuja x2

5. Furaha toka kwa Bwana imekuja x2

6. Amani toka kwa Bwana limekuja x2


15 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page