top of page

Ni Nani Mama wa Kanisa

1. Ni nani Mama wa kanisa – Birira Maria x2.

Alimkanyaga shetani, akamnyanganya uwezo, Bikira Maria x2.

2. Ni nani Mama wa neema – Bikira Maria x2

3. Ni nani Mama wa upendo – Bikira Maria x2

4. Ni nani Mama wa Mwokozi – Bikira Maria x2

5. Ni nana mnara wa Daudi – Bikira Maria x2

6.Ni nani mnara wa pembe – Bikira Maria x2

7. Ni nani nyumba ya dhahabu – Bikira x2

61 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page