top of page

Ni Nani Kama Mungu

Ni nani awezae kufananishwa na Mungu ni kitu gani kiwezacho

kufananishwa na muumba x2


Wiki nzima amenipa nguvu, amenipa na uhai, nimefanya kazi zangu zote kwa ratiba zangu zote na sasa niko hapa mbele kuutangaza wema wake waumini simameni: Pigeni vigelegele na tuimbe kwa pamoja, tutangaze wema wake


Hebu fikiria ndugu ilivyo maajabu wewe umempa nini Baba yetu Muumba ni wengi waliopenda kuiona siku hii kwa mapenzi yake yeye wote hawakuiona


Hebu fikiria pia ilivyo maajabu wewe una maisha bora pia ya kupendeza ni wengi hawana nyumba hawana makazi viungo vya miili mikono na hata miguu

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page