top of page

Ni Nani Hawa


Ni nani (hawa) watembeao kwa furaha (wote pamoja) waki jongea altare(yake Mungu) ni wateule wake Bwana walioalikua kwa karamu x2

  1. Yakupasa ujiulize, ndugu kikwazo gani, kinacho kufanya uiogope meza ya Bwana

  2. Hebu watazame wenzako, wanavyo kwenda kwa furaha, wakiijongea meza ya Bwana kwa karamu

  3. Bwana Yesu ameutoa, mwili wake kuwa chakula, na damu yake kaitoa kwetu kama kinyawaji

36 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page