top of page

Ni Mwezi wa Maria


Enyi waumini karibuni Kwenye mwezi wa mama yetu Maria mwezi wenye neema nyingi ni mwezi wa mama yetu bikira Maria

Ni mwezi ulio na neema ya pekee


Ni mwezi wa (mama ) × 2 Maria karibuni tutafakali matendo ya rosali

  1. Mama yetu Maria anatupenda tena atupenda sana anazindikisha maombi yetu Kwa mwanaye yesu

  2. Twaja mbele yako mama yetu tuombee, twaja na maombi utusikie

Utuombee mama wa mungu utuombee mama wa mwokozi

Utuombee mama Kwa mwanao yesu Maria mtakatifu

Utuombee mama mpendelevu utuombee mama ( mama yetu)

Utuombee mama Kwa mwanao yesu Malkia wa mbingu

Utuombee mama wamuumba utuombee mama wa shauri njema

Utuombee mama Kwa mwanao yesu


Utuombee mama (wa muumba)

Utuombee mama wa mwokozi

Utuombee mama Kwa mwanao yesu

36 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page