top of page

Ni Lini Utakuwa na Kitu

Siku zilizopita haukuwa na kitu, leo imewadia hauna kitu kesho itafika pia utasema hauna kitu.[ Ni vipi unasafiri ndugu ni vipi unastarehe wewe ni vipi unaishi, kama hauna kitu x2

1. Mshukuru Mungu wako ndugu kwa kutoa sadaka lakini ukumbuke, shida hazitaisha mpaka kufa kwako.

2. Mungu alikuumba ndugu ukamtumikie, lakini ukumbuke, shida hazitaisha…….

3. Mtolee nia zako zote naye akubariki…lakini ukumbuke

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page