top of page

Ni Kweli Amezaliwa

Ni kweli amezaliwa Mkombozi wetu Masiha Malaika wanaimba kwa furaha wakimsifu Bwana (Na sisi tunafurahia Mkombozi wetu kazaliwa Na utumwa umetutoka aleluya tushangilie) x2

  1. Kwenye mji wa Daudi Mkombozi kazaliwa Wote twende tukamwone amelazwa manyasini

  2. Tuna haki kufurahi tumepata Mkombozi Amekuja tukomboa hivyo wote tufurahi

  3. Utukufu juu Mbinguni, na amani duniani Kwa watu wote wenye mapenzi mema aleluya

  4. Bwana Yesu kazaliwa, amekuja tukomboa Katuletea wokovu, hivyo tuimbe aleluya

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page