top of page

Ni Heri Zaidi Kutoa


Ni heri zaidi kutoa, ni heri zaidi kutoa kuliko kupokea(ni) ni heri zaidi kutoa kuliko kupokea x2 Ni heri ni heri zaidi kutoa x2 ni heri, ni heri zaidi kutoa x2 kuliko kupokea

  1. Tunapaswa wote kuwasaidia waliodhaifu,tukikumbuka maneno ya Bwana Yesu mwenyewe, heri zaidi kutoa kuliko kupokea

  2. Vitu vyote kweli tumepewa bure, tuvitoe bure, hatuna budi kuvirudisha vitu vyote kwake, heri zaidi kutoa kuliko kupokea.

  3. Hata kama ndugu unacho kidogo usisiste nenda, vitu vyote ulivyo navyo Mungu ndiye kakupa heri zaidi kutoa kuliko kupokea.

50 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page