top of page

Ni Furaha Tushangilieni

Ni furaha tushangilieni, kazaliwa Mwokozi Yesu ni furaha tele Bethlehem Ule utabiri uliosemwa na Isaiah umetimia


Yesu Kristu mwana wa Mungu kazaliwa huko Bethlehem, Twende tukamwabudu, twende


Kuzaliwa kwake Immanueli Bwana Kristu Ni kuonyesha Mungu ni mkarimu, kweli


Twende tumwone mashariki na malaika Alionyesha mwokozi kazaliwa, wote


Waumini tumwimbieni kwa furaha Tumshangilieni mfalme mwenye nguvu,, kweli


Nyumbani mwa daudi katoka mwana mwenye uwezo, wa kifalme tushangilieni, wote

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page