top of page

Ni Bwana Kafufuka

  1. Nimesikia nyimbo nikiwa mbali nikajiuliza kuna nini kumbe ni Bwana Kafufuka ameshinda mauti Kafufuka ameshinda mauti (ni Bwana)

  2. Nimesikia shangwe vigelegele nikajiuliza kuna nini kumbe ni Bwana

  3. Nimesikia sifa zavuma mbali nikajiuliza kuna nini kumbe ni Bwana

  4. Nimesikia nderemo na vifijo nikajiuliza kuna nini kumbe ni Bwana

36 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page