top of page

Neno Linakuja

Neno linakuja x 3 neno lipokee x 2

  1. Amenituma kuwahubiria habari ya nuru (kama ilivyo andikwa kitabu kitakatifu x 2)

  2. Tuwe tayari kusikiliza neno lenye mwanga –x2

  3. Neno la Bwana linatufariji walio na hofu – x2

  4. Litakomboa walio wafungwa kuweka huru –x2

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page