top of page

Neema ya Roho Mtakatifu

Neema ya Roho Mtakatifu iko na nguvu na uwezo, Wa kutuhakikishia sisi kwamba ana uwezo, kusafisha dhambi zetu, kusafisha dhambi zetu x2


Na kutuunganisha sisi na Mungu kwa njia ya imani Imani kwa Yesu Kristu kwa njia ya ubatizo


Kwa njia ya Roho Mtakatifu, tunashiriki mateso Mateso ya Yesu Kristu kwa kuifia dhambi

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page