top of page

Neema ya Roho

  1. Neema ya Roho Mtakatifu iko na nguvu na uwezo, wa kutuhakikishia sisi kwamba ana uwezo, kusafisha dhambi zetu, kusafisha dhambi zetu x2

  2. Na kutuunganisha sisi na Mungu kwa njia ya imani Imani kwa Yesu Kristu kwa njia ya ubatizo

  3. Kwa njia ya Roho Mtakatifu, tunashiriki mateso Mateso ya Yesu Kristu kwa kuifia dhambi

51 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page