top of page

Ndugu Angalieni

1. Ndugu angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu ili mtazamwe

Kwa maana mkifanya vitendo kama hivyo, hampati dhawabu kwa Baba mbinguni x2


Kutoa tu sadaka ndugu tufikiri kwanza (kweli) si kama wanafiki vile wafanyavyo x2


2. Ukiwa unalipa usiwe na rafiki ili uonekane machoni pa watu.

Ukiwa unalipa ingia chumba chako, toa ishara zako kwa Baba mbinguni x2


3. Mkono wa kuume ukitoa sadaka, mkono wa kushoto wala usijue,

Nami nawambieni wao wameshapata thawabu yao iko kwa Baba mbinguni x2

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page