top of page

Ndivyo Alivyo


1. Tulisikia sifa zake to-ka kwa vizazi vya kale, zimedumu tangu na tangu na hata sasa zinaishi


Tunamuona kila siku akibariki watu kila kukicha (apendelee)

Tunasikia (yaani )kumbe alituumba hata bila kuomba

(ila) huyo ni Mungu na hizo ni sifa zake milele –milele-

Huyo ni Mungu na hizo ni sifa zake milele (yote) ndivyo alivyo.


2. Ndiye aijuaye jana yetu, leo na kesho yetu. Uratibu yote yaliyoko duniani na mbinguni


3. Yeye hawahi wala hakawii hutenda apendavyo lakini nyakati zote amekuwa mwema huyu Mungu

12 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page