top of page

Ndipo Niliposema

Ndipo nilipo sema, tazama nimekuja Bwana nimekuja, tazama nimekuja Kuyafanya mapenzi yako x2


Nalimngoja Bwana kwa zaburi akaniinamia akakisikia kilio changu

akatia wimbo mpya kinywani mwangu ndiyo sifa zake Mungu wetu.


Dhabibu na matoleo hupendezwa navyo, masikio yangu umeyazibua, kafara na sadaka za dhambi huzitaka ndipo nilipo

tazama nimekuja.


Katika gombo la chuo nimeandikiwa, kuyafanya mapenzi yako mapenzi yako, ee Mungu wangu ndiyo furaha, furaha yangu, naam sheria yako imo moyoni mwangu.

6 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page