top of page

Ndama Walionona


Leteni ndama walionona madhabahuni kwa Bwana (tena) toeni bila ya kinyongo moyoni ndipo mtabarikiwa naye x2

  1. Leteni ndama walioshiba majani ya kondeni, mkamtolee Mungu Baba yetu wa mbinguni.

  2. Peleka vipaji vyako vilivyo safi na vyakupendeza, ndipo utakapokitikisa kiti cha Mwenyezi

  3. Kumbuka yule mjane , alitetoa senti moja, alibarikiwa na kuongezewa na Mungu Baba.

  4. Sadaka iliyo safi ni ile inayokugusa wewe, hivyo ndivyo sadaka iliyo safi kwa Mungu.

  5. Isaka alitolewa na baba yake kama sadaka, hivyo Abrahamu alizidishiwa uzao wake.

19 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page