top of page

Nchi Inazizima


Yuda akarudi, chukua fedha zenu huyu ni mwema, Pilato akakiri hana kosa lakini kamuueni, Kainuliwa mtupu na kajeruhiwa sana, Amekata roho, nchi inazizima kwa huzuni kuu.

  1. Ona damu, mwili umelowana Ona nyama, madonda mwili mzima Moyo wake, nao umetoboka. Mate yao, yamemfunika uso.

  2. Meno yake, kang'ata kwa uchungu. Nafsi yangu, imemjeruhi Yesu Dhambi zangu, zikamchomoa roho Mungu wangu, nionjeshe uchungu

  3. Ili nife, pamoja naye Kristu Mwisho nije, nikafufuke naye

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page