top of page

Nayatamani


Nayatamani (kweli) nayatamani makao ya Bwana x2

(Maskani yake Bwana yapendeza kama nini x 2

  1. Nafsi yangu imelionea shauku njua za Bwana

  2. Nitaingia nyumbani mwa Bwana kwa shangwe nitamwabudu

  3. Heri huru kwa viumbe vyake alitujalia sisi

  4. Pendo lake kwa viumbe vyote huwa halina kikomo

30 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page