top of page

(Naungama dhambi zangu zote kwa Mungu) Naungama dhambi zangu zote kwa Mungu, Mungu Baba kweli ninaungama dhambi zangu Mungu Baba kweli ninatubu x2

1. Ninakuungamia Mungu Mwenyezi ,nimekosa mimi ,nimekosa sana,kwa mawazo yangu,na maneno yangu ,na vitendo vyangu ,kweli ninatubu .

2. Ninakuungamia ,nanyi ndugu zangu nimekosa mimi ,nimekosa sana ,mnihurumie ,mkaniombee kwa Mungu Baba ,kweli ninatubu.

3. Ninakuungamia Bikira Maria ,nimekosa mimi,nimekosa sana ,unihurumie ,ukaniombee kwa Mungu Baba ,kweli ninatubu.

4. Na Watakatifu wote wa Mungu ,Nanyi Malaika nimekosa sana,mnihurumie mkaniombee kwa Mungu Baba ,kweli ninatubu.

2 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page