top of page

Natamani Mji wa Uzima

Makao furahi tele ndugu alienda kuandalia Bwana x2 (kasema hakika nitarudi kuwa chakua wale watenda mema x2


Natamani kufika mji wa uzima (alleluya x2)

Nikaone makao yangu. Huko hakutakuwa na kiu tena (kweli x 2) naenda kupumzika.

Waovu nao hawataona ufalme wa mbinguni sikizeni x2 (kilio tena kuomboleza ndipo malipo yao ya ajabu x2

Wakati umewadia sasa ni kweli Bwana yesu yu karibu x2 (wakristu tukeshe tukiomba tuimbe hallelya tumlaki x2

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page