top of page

Nasadiki- St. Elizabeth


Ninasadiki (Kweli)ninasadiki kweli ninasadiki x 2

1. Mungu Baba muumba vyote - Ninasadiki

Na mwanaye Yesu Kristu- Ninasadiki

Mkombozi wa watu wote- Ninasadiki

Ni mzaliwa na Maria- Ninasadiki


2. Alikufa msalabani- Ninasadiki

kwa ajili yetu sisi- Ninasadiki

Siku tatu kafufuka- Ninasadiki

Alipaa uwinguni- Ninasadiki

3. Yuko kuume kwa Baba- Ninasadiki

Atakuja kwa hukumu - Ninasadiki

Naye Roho mtakatifu - Ninasadiki

Ndiye mleta wa uzima- Ninasadiki


4. Na kanisa Katoliki- Ninasadiki

Takatifu la kitume- Ninasadiki

Naungama ubatizo- Ninasadiki

Ufufuko na uzima- Ninasadiki


1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page