top of page

Nasadiki- Mwanda

  1. Nasadiki kwa Mungu, Baba Mwenyezi, mwumba Mbingu na dunia.

Nina Ninamsadiki Mungu Baba mwenyezi, Yesu Kristu na Roho.

  1. Na kwa Yesu Kristu, mwenye we pekee, Bwana wetu

  2. Aliyetungwa kwa Roho Mtakatifu, akazaliwa na Bikira

  3. Akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato, akasulibiwa, akafa, akazikwa, akashukia kuzimu

  4. Siku ya tatu akafufuka katika wafu, akapaa mbinguni, amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi

  5. Toka huko atakuja kuwahukuma wazima na wafu

  6. Nasadiki kwa Roho mtakatifu, kanisa takatifu katoliki

  7. Ushirika wa watakatigu, maondoleo ya dhambi

  8. Ufufuko wa miili, uzima wa milele Amina.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page