top of page

Nalifurahi Waliponiambia


  1. Nalifurahi waliponiambia, Tutaingia nyumbani mwa Bwana Miguu yetu imesimama, Ndani ya malango yako, ee Yerusalem Miguu yetu imesimama, Ndani ya malango yako, ee Yerusalem

  2. Amani iwe ndani ya ngome zako, Na salama ndani ya nyumba yako

  3. Ushuhuda kwa Waisraeli Walishukuru jina la Bwana

  4. Wafanikiwe wote wakupendao Na ndugu zangu na rafiki zangu

  5. Niseme sasa amani iwe nanyi Nyumbani mwenu muwe na baraka

1 view0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page