top of page

Nalifurahi Sana

Nalifurahi sana waliponiambia ( na twende) furahi sana waliponiambia ( na twende) ( Nyumbani mwa Baba twende, nyumbani mwa Baba twende) x2

  1. Nitakushukuru kwa moyo wangu wote (nitakushukuru) mbele ya miungu kuimba zaburi (nitakushukuru)

  2. Nitakusujudu katika nyumba yako ( nitakushukuru) Nitalishukuru jina lako Ee Bwana (nitakushukuru)

  3. Kwa fadhili zako na uaminifu wako (nitakushukuru) Kwa maana wewe umekuza ahadi (nitakushukuru)

  4. Nilipokuita uliniitikia ( nitakushukuru) Ukanifariji ukanitia nguvu (nitakushukuru)

11 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page