top of page

Nakukaribisha Yesu Wangu


Nakukaribisha Yesu wangu, ukae moyoni mwangu (Bwana) nakukaribisha Yesu wangu chakula chenye uzima x2


Nishibishe kwa chakula cha uzima, uninyweshe kinywaji safi cha roho


1. Mwili wako ni chakula kinachoiburudisha roho yangu,

Yesu karibu moyoni mwangu, ukae nami daima.


2. Damu yako ni kinywaji kinachoiburudisha roho yangu,

Yesu karibu moyoni mwangu, ukae nami daima.


3. Kwa mwili na damu yako Ee Yesu tunapata uzima tele

Yesu karibu moyoni mwangu ukae nami daima

45 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page