top of page

Nakuja ni Mwenye Dhambi

  1. Nakujia mi mwenye dhambi nipokee kwa pendo lako *2 Yesu, nimechoka nazo dhambi Bwana, Bwana Yesu nipokee

  2. Ulikufa msalabani ukateswa na Wayahudi *2

  3. Damu yako ilimwagika kwa ajili ya dhambi zetu *2

  4. Ulipaa juu mbinguni kutuandalia makao *2

2 views0 comments

Comentarii

Evaluat(ă) cu 0 din 5 stele.
Încă nu există evaluări

Adaugă o evaluare
bottom of page