top of page

Nakuja Mbele Zako Bwana

Nakuja mbele zako Bwana, ninakuja na zawadi yangu,

ingawa ni kidogo (sana) Bwana uipokee x2


Nimekaa mimi nimejiuliza moyoni nitaenda je mbele za Bwana kwani Bwana amenilinda mimi salama amezibariki kazi zangu

Mungu Baba, pokea nilichonacho


Ninatoa kwa moyo mkunjufu pokea hiki kidogo nilichonacho.

Haya yote ni kwa ajili yako pokea uzidi kunijalia mema Ninaleta, mbele ya altare yako


Mkate na Divai twaleta pokea, vigeuze mwili pia damu Hata fedha zetu za mifukoni twakupa, zote ni mali yako e Bwana Tubariki, tupokee mbele zako.

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page