top of page

Nakuabudu Yesu Katika Hostia (TB I 10-2)



  1. Nakuabudu yesu katika Hostia, Uu Mungu kweli na mwanadamu katika sakramenti. Nakuabudu - Nakuabudu, Mungu fudi fudi, Ee Mfalme mtukufu wa milele

  2. Ee Yesu kwa upendo unakaa kwetu, u mgeni wetu toka mbinguni, twakuja kuabudu

  3. Baraka yako Yesu utupatie, tukinge na maovu ya leo, tuishi kwa Amani

  4. Uwabariki pia wapenzi wetu, uwajalie neema yako , watoe shukrani kuu

69 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page