top of page

Nakaza Mwendo



Sio kwamba nimekwishafika, au nimekwishakamilika, la, la,(Bali ninakaza mwendo ili nipate kulishika lile ambalo limeshikwa naye Kristu x2)

MEN:

1. Ninaendelea mbele mimi, katika utumishi wangu, nijalie nguvu Bwana wangu niyashinde haya ya dunia.

2. Nishike mkono Bwana wangu, shetani asinisumbue, niongoze vema Bwana wangu niyashike majukumu yangu.

3. Nitashinda mimi nitashindi, nitashinda kwa nguvu zako, natarajia ushujaa endapo wewe utaamua.

4. Nitavikwa mimi nitavikwa, nitavikwa taji ya haki, sio kwa nguvu zangu mwenyewe bali kwa nguvu za Mungu Baba.

3 views0 comments

Comentários

Avaliado com 0 de 5 estrelas.
Ainda sem avaliações

Adicione uma avaliação
bottom of page