top of page

Naja kwako Bwana

Naja kwako Bwana unipokee mtumishi wako x2 kuijongea altare yako ee Bwana, unipokee. (kati ya milango yako, Bwana napita, niweke mkono wako nibariki x2

  1. Ninakuja kwako, kukusujudia, (kukutolea, shukrani sala na maombi yangu x2

  2. Nitakusujudu ee Mungu wangu (nifanye toba ya kweli, katika hii nyumba takatifu x2

  3. Nitakuimbia kwa nyimbo nzuri. (Kwa nyimbo nzuri na shangwe, kukuabudu ee Bwana Mungu x2

16 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page