top of page

Naijongea

Naijongea altare yako nipokee (Bwana) unihifadhi mimi unirehemu x 2

Kila ninapo kula mwili wako Bwana…….unihifadhi mimi unirehemu

Kila ninapo kunywa damu yako Bwana……….

Ni fumbo kuu la Bwana na amini Bwana………


Japo mimi ee Bwana siatahili Bwana…………

Kila ninapofika altareni Bwana……………….

Dhambi zangu naomba unisamehe Bwana……


Nakukimbilia ee Bwana wangu Bwana………..

Wewe ndiwe kinga ya maisha yangu Bwana……

Katika majaribu maishani Bwana………………


Sala zangu ee Bwana zipokee Bwana……..

Shukrani zangu Bwana zipokee Bwana……………

Nafsi yangu ee Bwana itakase Bwana……………

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page