top of page

Naam Bwana

Naam Bwana wa mavuno, naam Bwana wa mavuno, naitikia wito wako x 2

  1. Mavuno ni mengi walakini / wavunaji ni wachache, Naam Bwana

  2. Bwana wa mavuno muombeni / atawapa wavunaji, Naam Bwana

  3. Baba kasikia ombi letu / wavunaji ametupa, Naam Bwana

  4. Nimewapa bure hayo yote / nanyi pia mtoe bure, Naam Bwana

6 views0 comments

ความคิดเห็น

ได้รับ 0 เต็ม 5 ดาว
ยังไม่มีการให้คะแนน

ให้คะแนน
bottom of page