top of page

Na Ahimidiwe Bwana


Enyi watumishi wa Bwana sifuni Lisifuni lisifuni Jina la Bwana Na ahimidiwe Bwana Mungu Bwana Mungu kutoka Sayuni Akaaye Yerusalemu aleluya

  1. Ninyi msimamao nyumbani mwa Bwana Nyuani mwa nyumba ya Mungu wenu Msifuni Bwana kwa kuwa yu mwema Liimbieni jina lake kwa maana lapendeza

  2. Kwa sababu Bwana amejichagulia Yakobo Na Israeli wawe watu wake hasa Maana najua mimi ya kuwa Bwana ni mkuu Na Mungu wetu yu juu ya miungu yote

  3. Enyi mlango wa Israeli mhimidini Enyi mlango wa Haruni mhimidini Enyi mlango wa Lawi himidini Bwana Enyi mnaomcha Bwana mhimidini Bwana

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page