top of page

Mzabibu wa Kweli


Mimi ndimi mzabibu wa kweli, Mimi ni mzabibu wa kweli nanyi m matawi yangu, asema Bwana x2

  1. Na Baba yangu ndiye mkulima, kila tawi lisilozaa, Baba hulikata nalo tawi lizaalo, Baba hulisafisha, ili lizidi kuzaa

  2. Kaeni nyote ndani yangu mimi, nami nikae ndani yenu, kwa maana mtu akaaye ndani yangu, nami ndani yake, huyo huzaa matunda

  3. Mimi ni mti mti wa zabibu, nanyi ndinyi matawi ya mzabibu huu, tawi linalojitenga, kutoka kwa mti huu, hunyauka tena hufa

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page