top of page

Mwokozi Wangu

1. Mwokozi wangu kwa pendo lako, uliita kwako, ili mimi niweze daima, kukutumikia

Nitaweza, naweza kweli ukinisaidia, kwa nguvu zako Bwana naweza kukutumikia x2.

2. Ulijua mimi ni mnyonge, kwa matendo yangu, na sasa unihifadhi kabisa, nikutumikie.

3. Kwa Rehema na neema zako, nikubali sasa, Mwokozi wangu niwe ni wako, nikutumikie.

6 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page