top of page

Mwimbieni Bwana

Mwimbieni (Bwana), mwimbieni Bwana wimbo mpya,

Lisifuni jina (lake) takatifu.

Yeye ndiye muumba wa vitu vyote – lisifuni jina takatifu.

Yeye ndiye Bwana Bwana mkuu – lisifuni jina takatifu.


Mfanyieni shangwe Bwana mkuu-

Mshukuruni Bwana Bwana Mkuu-


Mtukuzeni Bwana kwa wema wake-

Fadhili zake zidumu milele-


Atukuzwe Baba pia na mwana-

Na roho mtakatifu amina-

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page