top of page

Mwimbieni Binti Sayuni

1. Mwimbieni binti sayuni ee watu, yuaja na mwenye upole / tazama mfalme wako yuaja kwako / kapanda punda mwana wa punda.

Sauti nazipazwe leo natumwimbie (Yesu) Hosana! x2 Mwokozi anawaita mbinguni Mwana Daudi (Yesu) Hosana! Anakuja kwa jina la Bwana wanamwimbia (Yesu) Hossana! Sauti nazipazwe leo natumwimbie (Yesu) Hosana! x2

2. Tandikeni nguo zenu Bwana apite, Mbarikiwa Anakuja / pambeni njia kwa maua mazuri, Mbarikiwa anakuja.

3. Fungueni mioyo yenu kwa Bwana, apate kuingia ndani / mpokeeni Bwana mioyoni mwenu, Bwana mwenye upole mwingi.

7 views0 comments

Комментарии

Оценка: 0 из 5 звезд.
Еще нет оценок

Добавить рейтинг
bottom of page