top of page

Mwili wa Bwana Yesu


  1. Mwili wa Bwana Yesu, chakula cha Mbingu Ni chakula cha roho, chenye uzima Hima uwe nasi ee Bwana Yesu Ukatushibishe chakula bora Ni chakula cha roho, chenye uzima *2

  2. Yesu alituambia, Yeye ni chakula Ni chakula cha roho, chenye uzima Sote twaamini, ni mwili wake Pia twaamini ni damu yake Ni chakula cha roho, chenye uzima *2

  3. Yesu alituambia, kuwa tumpokee Ni chakula cha roho, chenye uzima Ee Bwana mkombozi tunakuomba Kwa chakula hiki tuinamie Ni chakula cha roho, chenye uzima *2

  4. Hii ndiyo karamu, aliyotuachia Ni chakula cha roho, chenye uzima Alaye mwili na kunywa damu Ana uzima wa siku zote Ni chakula cha roho, chenye uzima *2


3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page