top of page

Mungu Unihifadhi Mimi

Mungu unihifadhi mimi x 2 kwa maana nakukimbilia kwa maana nakukimbilia wewe x2

1. Bwana ndiye fungu la posho langu, wewe umeishika kura yangu mimi

Nimemweka Bwana mbele yangu, daima kwa Kuwa yumo kuumeni kwangu sitaondoshwa


2. Kwa hiyo moyo wangu unafurahi, naam mwili wangu nao utakaa;

Kwa kutumaini ha hutaiacha nafsi yangu, hutaiacha nafsi yangu kuzimu.


3. Utanfunza njia ya uzima, mbele za uso wako furaha zi tele, Na katika mkono wako wa kuume mna mema, mna mema tele ya milele.

35 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page