top of page

Mungu Niponye

Mungu ni ponye na maadui zangu, wasifurahi Bwana kwa kunishinda x2

1. Mungu niponye na maadui zangu, wasifurahi Bwana kwa kunishinda

2. Maana naakuinulia nafsi yangu ee, Mungu wangu natumaini kwako

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page