top of page

Mungu Muumba Twakutolea

1. Mungu Muumba twakutolea sadaka safi Ee Baba pokea


Sadaka ee Baba pokea x2 Tunakutolea sadaka safi sadaka ee Baba pokea x2

2. Mkate huu twakutolea sadaka safi, Ee Baba pokea

3. Divai hii twakutolea sadaka safi, Ee Baba pokea

4. Na fedha zetu za mifukoni twakutolea Ee Baba pokea

5. Maisha yetu kwa roho safi twakutolea Ee Baba pokea

6. Mazao yetu ya mashambani twakutolea Ee Baba pokea

7. Matendo yetu, malezi yetu twakutolea Ee Baba pokea

8. Kwa leo hii twakushukuru kwa wema wako Ee Baba pokea

12 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page