top of page

Mungu Mtukufu

1. Mungu Mtukufu aliye Bwana Akamtoa Yesu mpendwa Mwana Akawa dhabihu kwa dhambi zoteKufungua njia kwa Watu wote. Msifuni, msifuni, Nchi imsikie,Msifuni, msifuni, Bwana mshangilie, Njoni kwake Baba kwa Yesu Mwana, Mpeni Heshima Aliye Bwana. 2. Ukombozi wetu, tendo la Mungu, Ni ukamilifu kwa kila mtu; Mwenye ukosefu akimwamini, Atasamehewa na Yesu, Kweli. 3. Ametufundisha mambo ya mbingu, Tukafurahishwa na Mwana Mungu; Ametuinua tukae naye, Atatuongoza hata milele.

8 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page