top of page

Mungu Ibariki Tanzania



Mungu ibariki Afrika, wabariki viongozi wake Hekima umoja na amani, Hizi ni ngao zetu, Afrika na watu wake

Ibariki Afrika, ibariki Afrika x2 Tubariki watoto wa Afrika


Mungu ibariki Tanzania, dumisha uhuru na umoja Wake kwa waume na watoto Mungu ibariki, Tanzania na watu wake

Ibariki Tanzania, ibariki Tanzania Tubariki watoto wa Tanzania

10 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page